Muimbaji wa nyimbo za injili Neema Ng'asha.
Muimbaji wa nyimbo za Injili Neema Ng'asha kwa mara ya kwanza alipata kibali kuimba kwenye tamasha la pasaka linaolandaliwa na kampuni ya MSAMA PROMOTIONS lililofanyikia jijini Mwanza katika uwanja wa CCM Kirumba,Neema Ng'asha anasema "amemuona Mungu akimsaidia sana mpaka kufikia hatua hii,siku hiyo ilikuwa ya kihistoria katika huduma yake na alimuona Mungu akimpa kibali kikubwa kwa watu waliokuwa uwanjani pale".
No comments:
Post a Comment