Muimbaji wa nyimbo za injili kutoka jijini Mwanza anayeitwa Neema Ng'asha ametoa wimbo mpya unaoitwa YATAKUWA SAWA .Wimbo huu unatia moyo watu waliokata tamaa na kuchoka kuwa pamoja na YESU mambo yote YATAKUWA SAWA wasiogope .Wimbo huu umerekodiwa na Producer anayefanya vizuri sana kwa sasa Justin Rider wa studio ya Rider Music kutoka jijini Mwanza.
Minister Neema Ng'ashaKusikiliza wimbo huu bonyeza link hii hapa chini ππππππ
Usisahau ku subcribe kwenye channel ya Neema Ng'asha.
Kwa mialiko ya huduma wasiliana nae kwa namba 0754220078.
Account zake za kijamii
Facebook:Neema Ng'asha
Instagram:neemangashamusic
Tiktok:Minister Neema Ng'asha
No comments:
Post a Comment