About Me

My photo
My Name is Neema Ng'asha C.E.O and Founder member of Strong Women Foundation.(SWF).

Friday, October 16, 2015

Johnson Jimmy.

 Johnson Jimmy ni kijana ambaye Mungu amempa uwezo mkubwa sana wa kupiga drums,huduma yake inaendelea kukua ndani na nje ya Tanzanaia.Mbali na huduma yake ya kupiga drums Mungu amempa kiwapa cha kufanya video shooting ana miliki campuni inayoitwa The Amigo Johnson,kazi zake ziko katika ubora mkubwa sana.
                  
                         Johnson Jimmy akiwa kwenye stage.
                               
                                Hii ni nembo ya campuni ya Johnson Jimmy.

No comments:

Post a Comment