About Me

My photo
My Name is Neema Ng'asha C.E.O and Founder member of Strong Women Foundation.(SWF).

Friday, October 9, 2015

Upendo Kilahiro.




Upendo Kilahiro ni muimbaji toka Tanzania, ambaye Mungu amembariki kwa sauti nzuri sana yenye mafuta,nyimbo zake zinabariki watu wengi sana kwa sasa Mungu amezidi kumuinua mpaka kufikia viwango vya mataifa.

No comments:

Post a Comment