About Me

My photo
My Name is Neema Ng'asha C.E.O and Founder member of Strong Women Foundation.(SWF).

Friday, November 20, 2015

MUIMBAJI ANAYEKUJA KWA KWASI YA JUU TUMAINISIA SHAYO.

 Tumainisia Shayo ni muimbaji wa injili anayeishi Moshi,Mungu amekuwa akimtumia sana kwa huduma hii ndani na nje ya inchi.Yupo tayari kwa mialiko mbali mbali ndani na ndani ya inchi.

 Tumainisia Shayo akiwa na Emmanuel Mgaya(Masanja mkandamizaji)baada ya huduma.

No comments:

Post a Comment