About Me

My photo
My Name is Neema Ng'asha C.E.O and Founder member of Strong Women Foundation.(SWF).

Wednesday, December 2, 2015

Mfahamu MC mamachari na muimbaji wa nyimbo za injili Joshua Makondeko.

 Mc Joshua Makondeko akiwa na familia yake.
Mc Joshua Makondeko ni muimbaji kutoka Dar-es-Salaam,Tanzania ni moja ya waimbaji anayejitoa sana kumtumikia Mungu na wkiwa kwenye stage huwa machahari sana huduma yake inapendwa na watu wengi sana.Pia Mungu ammepa kibali kuwaunganisha waimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania,amekuwa mstari wa mbele kuhimiza umoja na ushirikiano katika mambo mbali mbali.
 Mc Joshua Makondeko akiimba pembeni ni Askofu Maboya.


Mc Joshua Makondeko katika ubora wake wa kusheheresha harusi,usisite kumtafuta katika harusi,send off na uzinduzi.

No comments:

Post a Comment