About Me

My photo
My Name is Neema Ng'asha C.E.O and Founder member of Strong Women Foundation.(SWF).

Tuesday, August 30, 2016

KAA TAYARI KWA UJIO WA ALBUM ZA" USINIPITE MWOKOZI" NA "TUNAE BWANA"

Kwa kipekee kabisa napenda kumshukuru Mungu anaye nipigania kila siku kama siyo YEYE nisingefikia hapa. Nilirekodi album yangu ya kwanza mwaka 2009 lakini nilipitia changamoto nyingi sana,lakini nimemuona Mungu akinivusha sasa hivi nipo kwenye maandalizi ya kutoa album zangu mbili zinazoitwa "USINIPITE MWOKOZI " na "TUNAE BWANA" album hizi zipomkatika mfumo wa DVD.Napenda kutoa shukrani kwa kampuni ya Amigo Johnson niliyofanya nayo video ya TUNAE BWANA na kampuni ya Mwamakula Production niliyofanya nayo  album ya "USINIPITE MWOKOZI".
Pia napenda kushukuru familia na rafiki zangu kwa kunitia moyo.Nshukuru watangazaji wote wa radio za Kikristo Tanzania,bloggers  na watangazaji wa Television Mungu awabariki sana kwa support yenu kubwa.
Album hizi zitasambazwa na kampuni ya  Mwamakula Production-MP iliyopo jijini ,Dar-Es-Salaam.

Hii ni cover ya album ya " USINIPITE MWOKOZI"

No comments:

Post a Comment