About Me

My photo
My Name is Neema Ng'asha C.E.O and Founder member of Strong Women Foundation.(SWF).

Saturday, December 16, 2017

NEEMA NG'ASHA AACHIA WIMBO MPYA WA KHERI YA KRISMAS NA MWAKA MPYA.

Muimbaji wa nyimbo za injili kutoka jijini ,Mwanza Neema Ng'asha ameachia wimbo maalumu kwa jili ya msimu huu wa siku kuu kama zawadi kwa wadau wote wa nyimbo za injili..wimbo huu unaitwa "kheri ya Krismas na mwaka mpya".Wimbo huu umefanywa na producer mahiri wa jijini Mwanza. David Cosmas DC wa Over The Classic.
Neema Ng'asha anasema anamshukuru sana Mungu huu wimbo umepokelewa vizuri na wadau wengi wa nyimbo za injili mpaka sasa watu wanaendelea kuupakua katika mtandao wa youtube na blogs mbali mbali.
Pia anashukuru watangazaji mbali mbali wa radio Tanzania wameupokea vizuri huu wimbo na wanaucheza ili kupeleka salamu za upendo katika msimu huu wa siku kuu.


 
Bonyeza link hii hapa chini kusikiliza wimbo.

https://www.youtube.com/watch?v=WQ8A0e1kLQU&feature=youtu.be

2 comments:

  1. Great content here! It’s very insightful,Thanks for sharing. Success to You!!
    scr888

    ReplyDelete