Muimbaji wa nyimbo za injili kutoka jijini Mwanza anayeitwa Neema Ng'asha ametoa video mpya ya wimbo wa SALAMA .Tayari video hii imepokelewa vizuri sana na wadau wa nyimbo za injili na imefanyika baraka kwa watu wengi .Video hii imefanywa na director makini kabisa kutoka kanda ya ziwa Marco Zaky.
Kutazama video YouTube bonyeza link hapo chini.