Shalom wakazi wa Mwanza karibuni sana tumlilie MUNGU kwa ajili ya Tanzania🇹🇿 ni tarehe 18/10/2025.kanisa la Baptist kona ya Bwiru kuanzia saa 4 Asubuhi. Hatma ya Tanzania iko mikononi mwa MUNGU bila Yeye Sisi hatuwezi.🤲🧎♀️
No comments:
Post a Comment