WIMBO MPYA WA SALAMA KUTOKA KWA NEEMA NG'ASHA WAGUSA WATU WENGI
Muimbaji wa nyimbo za injili kutoka jijini Mwanza anayeitwa Neema Ng'asha ametoa wimbo mpya unaoitwa SALAMA .Wimbo huu umefanyika baraka kwa watu wengi .Kusikiliza wimbo YouTube bonyeza link hapo chini.
Usisahau ku subcribe kwenye channel ya Neema Ng'asha.
Kwa mialiko ya huduma wasiliana nae kwa namba 0754220078
No comments:
Post a Comment