About Me

My photo
My Name is Neema Ng'asha C.E.O and Founder member of Strong Women Foundation.(SWF).

Wednesday, March 16, 2016

NEEMA NG'ASHA KUACHILIA VIDEO "MBELE NINA ENDELEA"


NEEMA NG'ASHA KUACHILIA VIDEO "MBELE NINA ENDELEA"

Muimbaji wa nyimbo za injili,Neema Ng'asha anayeishi                             
Dar-es-Salaam,Tanzania amemaliza kufanya video ya album yake ya TUNAE BWANA.Album hii imefanywa na campuni ya Amigo Johnson.Neema Ng'asha anamshukuru Mungu kwa kumuwezesha kufanya video hii ambayo iko katika viwango vya juu.Neema anaendelea kusema video hii itakuwa sokoni hivi karibuni na anaomba watanzania wamtie moyo kwa kununua kazi yake,ili awaweze kupiga hatua nyingine katika utumishi na  kutimiza kusudi la Mungu alilomuitia.Unaweza kuangalia you tube wimbo Mbele ninaendelea .



No comments:

Post a Comment