About Me

My photo
My Name is Neema Ng'asha C.E.O and Founder member of Strong Women Foundation.(SWF).

Monday, April 4, 2016

NEEMA NG'ASHA AKIWA KATIKA INTERVIEW KATIKA KITUO CHA TELEVISION CHA LIVING WATER.



Namshukuru Mungu kwa Neema yake,nimemuona akinisaidia sana katika hii huduma ya uimbaji,mwaka huu nimefanyikiwa kufanya live interview katika kipindi cha "KIPAWA CHANGU" kinachoendeshwa na muimbaji na Mc machachari Mc Joshua Makondeko.Moyo wangu unashauku kubwa kumtumikia Mungu niko tayari kwa huduma sehemu mbali mbali kama utahitaji huduma yangu naomba tuwasiliane kwa namba
0673-527249.


No comments:

Post a Comment