About Me

My photo
My Name is Neema Ng'asha C.E.O and Founder member of Strong Women Foundation.(SWF).

Wednesday, November 9, 2016

NEEMA NG'ASHA AMSHUKURU MUNGU KWA KUFANYA VIDEO YAKE "USILIE TENA"

Kwa kipekee kabisa napenda kumshukuru Mungu kwa kuniwezesha kufnanya video za nyimbo mpya "USILIE TENA".NAKUPENDA YESU na YESU POKEA SIFA.Nyimbo  hizi nimeshoot na kampuni ya Mwamakula production inayofanaya kazi zake kwa ubora sana pia ni wasambazaji wa nyimbo za injili jijini Dar -es -Salaam ,Tanzania.Naamini kwa msaada wa Mungu hii kazi itakuwa tayari hivi karibuni na itakuwa baraka kwa watu wengi.Hizi ni baadhi ya picha nilizopata wakati nipo location.




No comments:

Post a Comment