About Me

My photo
My Name is Neema Ng'asha C.E.O and Founder member of Strong Women Foundation.(SWF).

Wednesday, November 9, 2016

ALBUM YA TUNAE BWANA KUINGIA SOKONI TAR 31/12/2016(my birthday date)

Napenda kumshukuru Mungu amekuwa mwema sana kwangu,nakumbuka hii audio nimeanza kurekodi 2013 katika mazingira magumu sana lakini namshukuru Mungu sikukata tamaa  niliifanya kwa imani.Mwaka 2016  nimefanyikiwa kufanya video na director Johson Jimmy(Amigo Johson).Album hii ina nyimbo kama Baba tunakutukuza, Tunae Bwana,Mbele ninaendelea,Nakuabudu Bwana,Matendo yako na we Glorify Your  name. Namshukuru Mungu amekuwa akiwahudumia watu wake kupitia nyimbo hizi.Album hii itatoka tar 31/12/2016 siku hii ni ya muhimu sana kwangu ni birthday yangu ni siku ambayo ninamshkuru Mungu kwa matendo yake makuu anayonitendea tangu nilipozaliwa mpaka leo nauona wema wake.Naomba sapoti yenu kubwa wadau wote wa muziki wa Injili ndani na nje ya Tanzania ili album hii izidi kufanyika baraka kwa watu wengi jina laYesu liinuliwe na injili isonge mbele.
Baadhi ya nyimbo hizi zimo you tube kama  Tunae Bwana na Mbele ninaendelea.Niko tayari kwa mialiko pia ukitaka kupata video yangu piga 0673527249.




No comments:

Post a Comment