About Me

My photo
My Name is Neema Ng'asha C.E.O and Founder member of Strong Women Foundation.(SWF).

Tuesday, August 15, 2017

VIDEO YA NEEMA NG'ASHA "MATENDO YAKO" KUPATIKANA YOUTUBE HIVI KARIBUNI.



Muimbaji wa nyimbo za injili Neema Ng'asha anayeishi jijini Mwanza kwa sasa.anamshukuru Mungu kwa kumuwezesha kufanya video mbili za nyimbo "MATENDO YAKO " na "NAKUPENDA YESU".Video hizi zimefanywa na madirector Jay Menge na Josh Berry kutoka kampuni ya Calmmedia kutoka jijini Nairobi,Kenya. Neema Ng'asha amesema namshukuru Mungu kwa kupata nafasi hii ya kipekee kwa kufanya kazi hii na kampuni ya Calmmedia kutoka Nairobi ,Kenya anasema huu utakuwa mlango wa ufikia hatua kubwa katika huduma yake.Director Jay Menge amesema kwa sasa tutaoa video moja ya "MATENDO YAKO" ambao itakuwa youtube hivi karibuni.Na amewaambia wadau wote wa muziki wa Injili Africa Mashariki kukaa mkao wa kuipokea video hii ambayo imekuwa na viwango vya juu kwa UTUKUFU WA MUNGU  na itafanyika Baraka kwa watu wengi watakao itazama.
 


 Muimbaji Boaz Anthony na Gloria Mbaruku wakiwa location.

Neema Ng'asha akiwa location.





1 comment:

  1. Gclub Big Brake is offering the most popular games at this time.

    Gclub is another channel that you will be participating in the game Big Brake and more than 500 betting games that we have chosen very well. For Specific Gambling Bets We are the pioneer of playing online casino games as a specialist in casino games. To open online casino services freely. Under the supervision of Cambodia.
    Gclub we know that all of our members are in demand. Big Brake is a special online slots game. This is very popular at this time. Because there is only one channel that leads you to overcome. You can turn the wheel. Then wait for the win you will win big money. To be more understanding. For all members can try to play the game Big Brake with us at no cost.
    Gclub We have a team that is well trained to provide services to you 24 hours a day at the site. gclub royal1688

    ReplyDelete