Muimbaji wa nyimbo za injili Neema Ng'asha kutoka jijini,Mwanza ameachia video yake ya wimbo wa #USILIE TENA# katika mtandao wa you tube tar 19/6/2017.Neema Ng'asha amesema anamshukuru Mungu kazi yake imetoka vizuri na mpaka sasa watu wengi wameshaingia kwenye mtandao wa you tube kungalia video hii.Wimbo huu umefanyika Baraka kwa watu wengie sana maana unawatia moyo watu wasikate tamaa wamtazame YESU maana anaweza hakuna jambo gumu kwake.Video ya #USILIE TENA# imetengenezwa na director Fred Mwamakula wa kampuni ya Mwamakula Production kutoka jijini Dar-es-Salaam.Kuangalia video hii naomba ubonyeze link hii,
https://www.youtube.com/watch?v=COF4kNaoTns&feature=youtu.be
No comments:
Post a Comment