Muimbaji wa nyimbo za Injili Neema Ng'asha kutoka jijini,Mwanza anatarajia kuachia video yake mpya katika mtandao wa you tube tar 15/6/2017.Neema Ng'asha anasema anamshukuru sana MUNGU kwa hatua hii aliyoifikia ya kutoa video hii,wimbo wa "USILIE TENA" ulisikika kwa mara ya kwanza mwaka jana katika vyombo vya habari mbalimbali hapa inchini .Wimbo huu umefanyika Baraka sana kwa watu wengi na wamekuwa wakiulizia video yake.
Muimbaji Neema anaomba watu wote wanaopenda kufuatilia kazi zake wasisahau kuingia you tube kusbscribe ili wafahamu kila kitu kinachoendelea kuhusu huduma yake.
No comments:
Post a Comment