About Me

My photo
My Name is Neema Ng'asha C.E.O and Founder member of Strong Women Foundation.(SWF).

Wednesday, December 6, 2017

TAMASHA KUBWA LA UZINDUZI WA NEEMA NG'ASHA KUFANYIKA TAREHE 10.12.2017 UWANJA WA CCM KIRUMBA,MWANZA.

Muimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Mwanza Neema Ng'asha anatarjia kufanya tamasha kubwa la uzinduzi wa album ya TUNAE BWANA na USILIE TENA tar 10.12.2017 katika uwanja wa CCM Kirumba,Mwanza.

Mgeni rasmi katika uzinduzi huu ni manager Mr John Dominic kutoka kampuni ya Plumbline Consult na Mgeni Mheshiwa ni Naibu waziri wa ardhi nyumba na maendelea ya makazi.
Waimbaji mbali mbali kutoka jijini Mwanza wamethibitisha kushiriki katika uzinduzi huu.
Neema Ng'asha amewaomba wakazi wa jiji la Mwanza kufika bila kukosa tamasha litaanza saa7 mchana na KIINGILIO NI BURE KABISAA KARIBUNI SANA  wana wa Mungu.



No comments:

Post a Comment