About Me

My photo
My Name is Neema Ng'asha C.E.O and Founder member of Strong Women Foundation.(SWF).

Tuesday, December 4, 2018

NEEMA NG'ASHA AMSHUKURU MUNGU KUINGIA KWENYE TUKO ZA XTREEM AWARDS 2018.

Muimbaji wa nyimbo za injili kutoka jjini Mwanza Neema Ng'asha,anamshukuru MUNGU kumuwezesha kuingia kwenye tuzo za XTREEM WARDS 2018 kutoka Kenya.Neema Ng'asha amaeingia kwenye list ya waimbaji tisa kutoka Tanzania ambao wako kwenye list ya Tanzania Artist/goup of the year .Waimbaji hao ni Goodluck Gozbert,Angel Bernard, Christina Shusho, Joel Lwaga, Paul Clement,Martha Mwaipaja na wengine.

Ili kumpigia kura Neema Ng'asha tuma sms 49A kwenda 22176

Karibu utazame video hii ya Naamini kutoka kwa Neema Ng'asha 

https://youtu.be/C33xVB_3swk

No comments:

Post a Comment