About Me

My photo
My Name is Neema Ng'asha C.E.O and Founder member of Strong Women Foundation.(SWF).

Wednesday, September 12, 2018

NEEMA NG'ASHA KUACHIA WIMBO WA "AKISEMA NDIYO" TAREHE 13/09/2018,YOUTUBE.


Kwa mara nyingine muimbaji wa injili Neema Ng'asha  kutoka jijini,Mwanza anatarajia kuachia wimbo wake mpya unaoitwa"AKISEMA NDIYO" tarehe 13/09/2018. Wimbo huu uko katika mfumo wa audio .
Wimbo wa 'AKISEMA NDIYO" ni wimbo unaotuinua imani zetu kuamini ahadi za Mungu maishani mwetu."YESU AKISEMA NDIYO HAKUNA WA KUPINGA " wimbo huu unatukumbusha   kusimama na neno la MUNGU kushikilia ahadi zake hata kama tunapitia mazingira magumu MUNGU ameahidi kutuvusha tusiogope.

Wimbo huu utakuwa hewani katika ukurusa wa Neema Ng'asha facebook,instagram na YOUTUBE account yake.Wimbo huu umefanywa na Producer Ben William kutoka APEX MUSIC kutoka jijini,Kwanza.

No comments:

Post a Comment