About Me

My photo
My Name is Neema Ng'asha C.E.O and Founder member of Strong Women Foundation.(SWF).

Wednesday, September 12, 2018

NEEMA NG'ASHA AINGIA KWENYE TUZO ZA MZIKIAFRICA AWARDS 2018 KUTOKA KENYA.




 Muimbaji wa nyimbo za injili Neema Ng'asha kutoka jijini Mwanza, ameingia kweli orodha ya waimbaji waliochagulia kuwania tuzo ya MZIKIAFRICA AWARDS  2018 kutoka nchini ,Kenya.  
Neema Ng'asha anasema anamshukuru sana Mungu kwa hatua hii aliyoifikia . Wimbo ambao umechaguliwa kuingia katika tuzo hizi unaitwa 'NAAMINI" Wimbo huu umefanyika baraka kwa wengi,Neema natoa shukrani zake kwa Producer  Kametta na Gilbert Noah wa studio ya EXODUS iliyopo jijini,Mwanza.
Na director  wa video Milos kutoka Kahama.
Pia Neema Ng'asha anaishukuru sana kampuni ya Plumbline Consult iliyopo jijini,Mwanza kwa support kubwa walioitoa kufanikisha kazi hii,MUNGU AWABARIKI SANA.

Kumpigia kura Neema Ng'asha fuata maelekezo yafuatayo:
  ingia kwenye link hii chagua jina langu bonyeza submit.
👇👇👇👇
https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=1994028973973962&id=100001006368992

No comments:

Post a Comment