About Me

My photo
My Name is Neema Ng'asha C.E.O and Founder member of Strong Women Foundation.(SWF).

Friday, January 6, 2017

WIMBO WA USILIE KUINGIA KWENYE KUMI BORA KATIKA BLOG YA PROMOVER TZ

 Napenda kumshukuru amekuwa mwema kwangu ,pia napenda kuwa shukuru watangazaji wa radio na blogger Jacktan Msafiri wa Promover TZ bila kukusahau wewe mdau  wa muziki wa Injili Tanzania kwa support yako kubwa,ukita ka kusikiliza wimbo wa usilie tena bonyeza hii link.



http://promovertz.blogspot.co.ke/2017/01/hizi-ndizo-nyimbo-10-bora-kabisa.html?m=1

No comments:

Post a Comment